Sisi kama waTanzania tumejitolea nafasi ya kutembela Mbuga Moja ya
Wanyama kila ifikapo Mwisho wa mwezi kwa kuchangia kiasi kidogo Cha
fedha kwenda kufurahia vivutio vyetu vya asilia sisi kamawatanzania
kila mmoja anakaribishwa kuchangia na kufurahia mbuga zetu za wanyama na
marafiki zetu,Usafiri utakuwepo na ni wa uhakika kwahiyo wachukue
rafiki zetu ili nasisi tufurahie maliasili zetu kama wafanyavyo wageni
kutoka nchi zingine na kwa kufanya hivyo tutakuwa tumekuza utalii wetu
wa ndani pia.
|
No comments:
Post a Comment