Pages

Thursday, October 18, 2012

MALKIA WA PORI.





                         



                         


                                  

Thursday, October 11, 2012

WASHAURI RAFIKI ZAKO KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA UPATE KUJIONEA WEWE NA RAFIKI ZAKO.

Sisi kama waTanzania tumejitolea nafasi ya kutembela Mbuga Moja ya Wanyama kila ifikapo Mwisho wa mwezi kwa kuchangia kiasi kidogo Cha fedha kwenda kufurahia vivutio vyetu vya asilia sisi kamawatanzania kila mmoja anakaribishwa kuchangia na kufurahia mbuga zetu za wanyama na marafiki zetu,Usafiri utakuwepo na ni wa uhakika kwahiyo wachukue rafiki zetu ili nasisi tufurahie maliasili zetu kama wafanyavyo wageni kutoka nchi zingine na kwa kufanya hivyo tutakuwa tumekuza utalii wetu wa ndani pia.

|









CHUMBA CHA MAONI: